ZOZA Mp3 Song Download By Sammyboy Kenya Free 2023. Best Hip Hop Song ZOZA Mp3 Download in 320Kbps For Free. ZOZA Song in voice of Sammyboy Kenya, Music By Sammyboy Kenya, and Lyrics By Sammyboy Kenya.

ZOZA Mp3 Song Download Sammyboy Kenya
ZOZA Lyrics
Chorus
Ebu zoza lil mama
Zoza ukichutama
Zoza lil mamaaaaa
Za za ukiinama
Zoza zoza zoza Ukichutama
Zoza zoza zoza Ukiinama
Verse one
SammyBoy amelala
Vile mama unazoza
Ready kurusha madollar
Zoza kama unachokoza
Mambo yamechemkachemka
Inama tena geukageuka
Panda tena temkatemka
Temka temka
Cheza birika yoyoyoo Cheza birika
Mama tingika yoyoyo Mama tingika
Chorus
Ebu zoza lil mama
Zoza ukichutama
Zoza lil mamaaaaa
Za za ukiinama
Zoza zoza zoza Ukichutama
Zoza zoza zoza Ukiinama
Verse two
Unanisaffocate
Akili inarotate
Unanisaffocate ka barakoa
Akili inarotate unanibomoa
Nataka nipepete pepete
Hadi ngware rekete rekete
Nipe yote tete tete
Hadi ngware rekete rekete
Cheza birika yoyoyoo Cheza birika
Mama tingika yoyoyo Mama tingika
Chorus
Ebu zoza lil mama
Zoza ukichutama
Zoza lil mamaaaaa
Za za ukiinama
Zoza zoza zoza Ukichutama
Zoza zoza zoza Ukiinama